Channel Avatar

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH @UCBS7cuOXoppuTEDltHGZ2WA@youtube.com

34K subscribers - no pronouns :c

Usharika wa KKKT Kijitonyama ni miongoni mwa sharika za Kani


About

Usharika wa KKKT Kijitonyama ni miongoni mwa sharika za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) zilizopo katika Jimbo la Kaskazini Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) ya KKKT.
Usharika wa Kijitonyama ulianza kama mtaa wa Usharika wa Kinondoni mwaka 1981 na kuzinduliwa rasmi mwaka 1985. Hivi sasa Usharika una Washarika takribani 5500 waliojiandikisha.

Usharika huu kwa sasa unaongozwa na Mchungaji Kiongozi Dr. Eliona Kimaro akisaidiwa na Mchungaji Anna Kuyonga.

Dira Yetu : Kuwa kiongozi katika kutangaza Injili ya takatifu ya Yesu Kristo kwa mataifa yote.

Dhima Yetu : Kujitoa kikamilifu katika kueneza Injili Takatifu ya Yesu Kristo na kutumikia jamii kiroho na kimwili.

Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako.

LIPA KWA M-PESA 5510222

AIRTEL MONEY +255 682 683 333
TIGO PESA +255 679 112 500
M - PESA +255 756 445 544
+255 762 644 681

Pia unaweza kutuma sadaka kupitia:

CRDB BANK
0111013720000 KKKT - KIJITITONYAMA