Channel Avatar

VANPRO STUDIOS @UC7YwKzzXyZkm3XDiCauZE4A@youtube.com

30K subscribers - no pronouns :c

Dunia yetu ni nzuri sana ni mahali sahihi pa Binadamu na Viu


About

Dunia yetu ni nzuri sana ni mahali sahihi pa Binadamu na Viumbe mbalimbali kuishi.

Ungana na HMG Kuendeleza harakati mbalimbali hapa Duniani ikiwa ni pamoja na kupata habari za matukio mbalimbali yaliyotokea mamilioni ya miaka iliyopita hasa kuhusu Binadamu, Wanyama na Viumbe mbalimbali hapa Duniani.

HMG tunaendeleza harakati za kumrudisha Mtu mweusi katika mizizi yake ya asili kutoka kwa Mababu zake na hapa ndipo tunaita Back to Africa Movement, katika kipengere hiki utapata historia nzuri ya Africa na jamii zake zote.

HMG tunaizunguka Dunia nak ukulete Habari na matukio muhimu ya kale na sasa kila siku bila kusahau matukio yaliyovunja record za Dunia na Historia za Watu mashuhuri

HMG tutakupa Darasa bora kuhusiana mambo ya kiroho na pia tutakupeleka katika anga za mbali ili upate kujua masimulizi bora kuhusu anga za mbali

HMG AFRICA\Back to Africa Movement